Kamilifu Home Stats Events Books Lyrics Kifalme Home
Other: Songs By the Artist

Naomba

by Adawnage

Verse 1

Sikudhani mimi nimekupa weh, huzuni kiasi hicho

Dhambi mingi, maombi hayatoki nisamehe baba

Uchovu na uvivu umenijaza, moyoni sina amani

Naomba unipe raha, msamaha, mi naomba uwashe taa

Popote niendapo chochote nifanyacho sasa, nifungue macho

Nipate kuona, kuhisi, nipate upako wako

 

     Chorus

       naomba baba, mimi naomba, mikono nimeinua

       nishike baba, unifiche mikononi mwako

       nionyeshe baba wema wako, unifanye chombo chako

       naomba, naomba, baba mi naomba

 

Verse 2

Sikudhani mimi nikiteleza, nakusulubu tena

Uchungu mwingi, machozi yakutoka, nisamehe baba

Unizibie ufa, nisijenge ukuta, bwana umetukua

Naomba unipe raha, msamaha, mi naomba uwashe taa

Popote niendapo chochote nifanyacho sasa, nifungue macho

Nipate kuona, kuhisi, nipate upako wako

ProducerDominic Khaemba
ComposerRoselyn Mwihaki

Viewed 73452 Times

Share Lyrics

    

Similar lyrics

1. Dem No Go Know

2. Uwezo

3. AMAZING

4. Psalm 40

5. Azeze

6. My Peace

Powered By: kamilifu Solutions